id
int64 1
26.7k
| translation
translation |
---|---|
25,841 | {
"dav": "Vifurue vadionia mbuw'a.",
"swa": "Vipepeo wametuharibia shamba"
} |
12,866 | {
"dav": "Daw'iaenda kaba kura kwa indo ja imbiri.",
"swa": "Tunaenda kupiga kura kwa mara ya kwanza."
} |
716 | {
"dav": "Uja wawemtasa ni mchafu.",
"swa": "Yule wanayemwabudu ni chukizo."
} |
12,665 | {
"dav": "Oenjwa hospitali uko hali izamie.",
"swa": "Alipelekwa hospitali akiwa hali mbaya sana."
} |
16,162 | {
"dav": "Iruwa jakaba nandighi",
"swa": "Jua linachoma sana"
} |
26,127 | {
"dav": "Kusegheshe kilambo chingi cha kisha.",
"swa": "Usifikirie kitu chochote kibaya"
} |
1,659 | {
"dav": "Mzenyu ni hao?",
"swa": "Kwenu ni wapi?"
} |
26,136 | {
"dav": "W'usira lwaka ndediw'ekusikira.",
"swa": "Ongeza sauti hatukuskii"
} |
18,927 | {
"dav": "Kwafunyire hao",
"swa": "Ulitoa wapi"
} |
24,402 | {
"dav": "Naw'eskira dilo idime kuchumba.",
"swa": "Naskia usingizi Leo kushinda siku zote"
} |
24,694 | {
"dav": "Kuche mzinyi.",
"swa": "Uje nyumbani"
} |
3,172 | {
"dav": "Mnyango ghwarughulwa.",
"swa": "Mlango unafunguliwa."
} |
22,556 | {
"dav": "Reda machi na kikombe ninyo",
"swa": "Leta maji na kikombe ninywe"
} |
18,685 | {
"dav": "Ilombi jhapo ni kuhoreshe",
"swa": "Ombi langu ni upone"
} |
4,649 | {
"dav": "Shimba idakuvisa malembenyi.",
"swa": "Simba hujificha kwenye majani."
} |
21,648 | {
"dav": "Mwatulituli wapo wanyelwa ni vua.",
"swa": "Simu yangu imenyeshewa na mvua"
} |
4,531 | {
"dav": "Koshi yadanughwa ni kirezi.",
"swa": "Mbwa hufuatwa na mkia."
} |
19,457 | {
"dav": "Bonya indo ja mwisho",
"swa": "Fanya mara ya mwisho"
} |
8,153 | {
"dav": "Kwa ishima jake",
"swa": "Kwa heshima yake"
} |
15,618 | {
"dav": "Mruna ni mkongo",
"swa": "Ndugu yake ni mgonjwa"
} |
17,905 | {
"dav": "Vindo vawurwa",
"swa": "Chakula kimeiva"
} |
10,178 | {
"dav": "Kichuku chose chaendie zighana ndee waw'o aja hospitali ya Voi.",
"swa": "Familia nzima ilimtembelea baba yao katika hospitali ya Voi."
} |
24,798 | {
"dav": "Kwaw'acha saa ilinga?",
"swa": "Unakuja saa ngapi?"
} |
1,551 | {
"dav": "Vilambo visena zoghori",
"swa": "Vitu visivyo na thamani"
} |
9,077 | {
"dav": "Wawuduka kiwiwi",
"swa": "Ameanguka vibaya"
} |
10,197 | {
"dav": "Nikudumia ilagho kesho.",
"swa": "Nitakutumia ujumbe mfupi kwa simu kesho."
} |
16,537 | {
"dav": "Oka na gambili mbaha",
"swa": "Ako na kipaji kikubwa"
} |
18,933 | {
"dav": "Nashoa shilingi Ighana shighadi",
"swa": "Nimeokota shilingi mia moja nje"
} |
18,398 | {
"dav": "Makungughu gha vua ndeghiw'onekie",
"swa": "Mawingu ya mvua hayajaonekana"
} |
9,221 | {
"dav": "Kwafuma hao?",
"swa": "Umetoka wapi?"
} |
2,838 | {
"dav": "Dedenekwa zawadi.",
"swa": "Tulipewa zawadi"
} |
17,779 | {
"dav": "Ndoo yalaghaya",
"swa": "Ndoo imepotea"
} |
15,832 | {
"dav": "Okaba ngokora",
"swa": "Alipiga magoti"
} |
12,011 | {
"dav": "Kufuma kala w'eke w'aw'a ndew'erebonyagha huw'o.",
"swa": "Tangu zamani mababu zetu hawakufanya hivyo."
} |
5,815 | {
"dav": "Mzaw'o ni kula shuu",
"swa": "Kwao ni mbali sana"
} |
25,898 | {
"dav": "Iruwa jikakaba niko vua ichaa.",
"swa": "Jua likipiga ndio mvua itakuja"
} |
10,738 | {
"dav": ",Mtoto anaishi na mama yake.",
"swa": "nan"
} |
24,562 | {
"dav": "Mka umu okaba irizi na mwindi.",
"swa": "Mama mwingine alivaa irini mguu"
} |
23,388 | {
"dav": "Matofali ghanyelwa ni vua.",
"swa": "Matofali yamenyeshewa na mvua."
} |
10,019 | {
"dav": "Osindapwana na w'abonyi kazi luma lwa kesho.",
"swa": "Alikuwa na mkutano na wafanyikazi asubuhi ya leo."
} |
12,058 | {
"dav": "Mwachaka mungi vindonyi washekeria kudikwa ni mbori na manongo.",
"swa": "Pilipili nyingi kwa chakula husababisha kutiririkwa na machozi na makamasi."
} |
17,298 | {
"dav": "Muzi ghwawo ni mbaha nandighi",
"swa": "Nyumbani kwao ni pakubwa"
} |
16,630 | {
"dav": "Savi raw'alwa shighadi",
"swa": "pojo zimepandwa nje"
} |
15,204 | {
"dav": "Kilongozi wa mzedu ungirie ghadi uche uzighane umanye aha shida iko.",
"swa": "Kiongozi wetu anapaswa aingilie kati swala hili ajue shida inatokea wapi"
} |
25,782 | {
"dav": "Omoni wadasaghua w'ana.",
"swa": "Yeye huwa anachagua watoto"
} |
7,545 | {
"dav": "Wurumwengu ghwachua ndengwa",
"swa": "Ulimwengu umejaa hatari"
} |
700 | {
"dav": "Oho kwameria kusikia maza ripoie.",
"swa": "Wewe umeshasikia habari njema."
} |
24,458 | {
"dav": "W'echajha.",
"swa": "Wamekuja kula"
} |
8,413 | {
"dav": "Wesera nimerie",
"swa": "Ngojea nimalize"
} |
9,393 | {
"dav": "Ni w'andu w'atini w'iandikie vuo kwa Kidaw'ida",
"swa": "Ni watu wachache wameandika vitabu kwa Kitaita"
} |
5,633 | {
"dav": "Leka machu",
"swa": "Wacha hasira"
} |
14,021 | {
"dav": "Ihi kamba yazitirikia yanlema kulegheresha.",
"swa": "Hii kamba imekazika inanishinda kulegeza."
} |
8,632 | {
"dav": "dafuna mboa mboa",
"swa": "Tafuna pole pole"
} |
12,955 | {
"dav": "Uo nio udedie ngelo ya sherehe.",
"swa": "Yeye ndiye aliyetoa hotuba wakati wa sherehe."
} |
24,062 | {
"dav": "Vadu vake vasia putu.",
"swa": "Viatu zake zimeisha kabisa"
} |
11,740 | {
"dav": "W'eka w'andu w'engi sana, simbonie mghenyu wapo wa kala.",
"swa": "Kulikuwa na watu wengi sana, sikumuona rafiki yangu wa zamani."
} |
7,462 | {
"dav": "Nadanywa chai cha kilumbwa",
"swa": "Mimi hunywa chai bila sukari"
} |
931 | {
"dav": "Uhu usewadie lufu ndeuze nguwo yake ughuo lufu.",
"swa": "Na yule mwenye hana panga auze nguo yake anunue panga."
} |
13,730 | {
"dav": "Seji midi ipotuagha malemba ikasughuswa ni mbeo.",
"swa": "Kama vile miti huangusha majani inapotingishwa na upepo."
} |
271 | {
"dav": "Izanga ja Kenya jeko na wazuri wengi",
"swa": "Nchi ya kenya ina matajiri wengi"
} |
13,399 | {
"dav": "W'uja w'anake w'akanye na ani?",
"swa": "Vile watoto wanatunzwa na nani?"
} |
9,255 | {
"dav": "Ujha mka oshoma sana",
"swa": "Yule mwanamke amesoma sana"
} |
8,369 | {
"dav": "Naja nikaghuda",
"swa": "Nimekula nikashiba"
} |
20,179 | {
"dav": "Nasirilwa ni maghesho",
"swa": "Nimeishiwa na mawazo"
} |
22,266 | {
"dav": "Kila mundu umanye moni siw'etesia mndungi",
"swa": "Kila mtuatajua mwenyewe mimi simsaidii mtu"
} |
21,608 | {
"dav": "W'usira mikono yako",
"swa": "Inua mikono yako"
} |
3,165 | {
"dav": "Mawingu ghawepwana.",
"swa": "Mawingu yanakusanyika."
} |
1,341 | {
"dav": "Mlungu wadidimisha kukaa na mawono.",
"swa": "Mungu ametuwezesha kuwa na ndoto."
} |
9,561 | {
"dav": "ukaw'ineka vindo va ngolonyi",
"swa": "Akawapatia chakula cha kiroho"
} |
9,475 | {
"dav": "Nadanywa chai cha kilumbwa",
"swa": "Mimi hunywa chai bila sukari"
} |
3,438 | {
"dav": "Ndighi ya madedo yadima kukaiya mbaa.",
"swa": "Nguvu ya maneno inaweza kuwa kubwa."
} |
9,246 | {
"dav": "kwaw'eshoma kihi?",
"swa": "Unasoma nini?"
} |
12,229 | {
"dav": "Polisi w'echasaka nyumba yapo.",
"swa": "Polisi walifanya msako nyumbani kwangu."
} |
10,129 | {
"dav": "W'andu w'eandikwa kwa zoghori zima.",
"swa": "Watu wameajiriwa katika biashara tofauti."
} |
12,178 | {
"dav": "Gheko mafundisho gha matuku adadu.",
"swa": "Kutakuwa na mafunzo ya siku tatu."
} |
9,744 | {
"dav": "Mwini ghwachika",
"swa": "Mpini umevunjika"
} |
851 | {
"dav": "Jingi sikundilo sa huwu.",
"swa": "Sijawahi kupendwa kama hivi."
} |
25,184 | {
"dav": " Naghaluswa irina.",
"swa": "Nimebadilishwa jina"
} |
18,053 | {
"dav": "Mzerenyi uende polisi",
"swa": "Mwambieni aende polisi"
} |
2,575 | {
"dav": "Mifugho raenda lishwa.",
"swa": "Mifugo wamo malishoni"
} |
19,324 | {
"dav": "Mfu ghwadika",
"swa": "Unga umemwagika"
} |
23,857 | {
"dav": "Odekanilwa useke avua kavui na mbande.",
"swa": "Alikatazwa asitambae karibu na kuni"
} |
24,578 | {
"dav": "Wasindakotia mburi yejha.",
"swa": "Walikuwa wanauliza mbuzi yakula"
} |
3,197 | {
"dav": "Mbogha yawedekwa.",
"swa": "Mboga inapikwa."
} |
17,769 | {
"dav": "opimwa nyama",
"swa": "Alipimwa nyama"
} |
2,685 | {
"dav": "Taa yarima.",
"swa": "Taa imezima"
} |
22,127 | {
"dav": "Napatire kibarua chebonya sikaiagha duu",
"swa": "Nilipata kazi ya kufana sitakaa bure"
} |
4,431 | {
"dav": " linu nidalala kwa igodoro ijija iwishi nigulo ni mao.",
"swa": "Leo nitalalia godoro lipya nililonunuliwa na mama."
} |
15,712 | {
"dav": "Chandarua charashuka",
"swa": "Chandarua kimeraruka"
} |
3,940 | {
"dav": "Kuvumilia na kuwesera kudava mafanikio ghiboie.",
"swa": "Uvumilivu na subira huzaa mafanikio bora."
} |
20,642 | {
"dav": "Naw'ona w'ubaa ghwa Mlungu",
"swa": "Nimeshuhudia ukuu kwa Mungu"
} |
18,440 | {
"dav": "Maringo ghadakaiya mabaha",
"swa": "Njiwa huwa kubwa"
} |
8,521 | {
"dav": "kwarwa nguwo rilemere",
"swa": "Umevalia nguo nzito"
} |
23,979 | {
"dav": "Aw'a w'aghenyi w'efuma kula kweli.",
"swa": "Hawa wageni wametoka mbali sana"
} |
2,891 | {
"dav": "Kuseka mbai!",
"swa": "Kucheka hapana!"
} |
9,722 | {
"dav": "W'aw'a w'apo ",
"swa": "Nyanya yangu anajua kushona kweli"
} |
22,126 | {
"dav": "Siw'ekunda kuw'uya nanyuma putu.",
"swa": "Siwezi taka kurudi nyuma"
} |
25,347 | {
"dav": "W'edezughwa na w'ikaja malemba ghizamie.",
"swa": "Walikuwa njaa wakala matawi mabaya"
} |
1,100 | {
"dav": "Oka wa chokwa sa mariwa gha kiliwo.",
"swa": "Ako mweupe kama maziwa."
} |
18,192 | {
"dav": "Aha ndekuw'ekaiya sa kenyu",
"swa": "Hapa hapakai kama kwenu"
} |