uhura / sw_gen_test.json
ebayes's picture
Upload 30 files
597042a verified
raw
history blame
48 kB
[
{
"q": "Ikiwa kilo moja ya sukari inauzwa shilingi 2000. Jee, kilo 9 zitauzwa kwa shilingi ngapi?",
"a": "18000",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Maoni ya Njeri kuhusu ndege zisizo na rubani:",
"a": "[\"Ukosefu wa kushauriana huleta wasiwasi\", \"Watafiti wawajibike zaidi.\", \"Tunahatiji sheria zaidi/uwepo wa sheria ni muhimu\"]",
"context": "",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Kuna mililita ngapi kwenye lita 1?",
"a": "1000",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Asha alinunua bidhaa zenye bei zifuatazo:\n• Chupa moja ya maji shilingi 1,000\n• Mikate 20 ya boflo shilingi 3,000\n• Paketi sita (6) za maziwa shilingi 9,000\n• Kreti tatu (3) za soda shilingi 10,000\n\nIkiwa Asha alikua na shilingi 30,000. Jee, Asha alibakiwa na shilingi ngapi\nbaada ya kununua bidhaa hizo? ",
"a": "7,000",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Matenga yana umuhimu gani kwa wauzaji?",
"a": "kubeba bidhaa",
"context": "Kuna aina nyingi za usafiri wa kila siku. Mtu anaweza kuendesha gari, kupanda basi au treni, kukodi teksi au kutembea kwa miguu. Inaonekana kwamba siku hizi watu wengi wanapenda sana kutembea au kupanda baisikeli. Zamani watu walipopanda baisikeli au kutembea walionekana kama fukara na hawana uwezo wa kununua gari au kulipia usafiri wa umma. Siku hizi watu wanaelewa kuwa magari yanaleta uchafuzi wa mazingira, na pia kuna sababu za kiuchumi kwani kutembea na kutumia baisikeli ni bure kabisa. Hata hivyo huku kwetu bado gari linaendelea kuwa muhimu kwani watu wengine huwa na familia kubwa inayojumuisha ndugu na jamaa tofauti, kwa hivyo ni lazima kuwa na usafiri madhubuti.\n \nNilifanya utafiti pamoja na kaka yangu na tuligundua kwamba katika mji wetu, zaidi ya asilimia 50 ya watu hutumia baisikeli kama njia yao kuu ya usafiri. Kati ya hawa, wapo ambao hufanyia kazi zao kwenye baisikeli. Mfano mzuri ni wale wanaouza madafu, mboga na matunda ambayo huyapakia kwenye baisikeli zao. Wao huwa na matenga makubwa yaliyojaa bidhaa na huzunguka mitaani huku wakiuza. Zaidi ya hapo, takriban asilimia 20 ya watu hutumia baisikeli mara moja moja ili kuenda kazini au shuleni. Pia kuna asilimia ndogo ya watu ambao hupanda baisikeli kwa ajili ya mashindano.\n \nMimi ni katika watu walioshindana katika mbio za baisikeli zilizotoka Tanzania hadi Afrika ya Kusini. Sikuwa na nguo zinazotakiwa kwa ajili ya mashindano, kwani sikuwa na uwezo wa kununua mpya kwa sababu muhimu zaidi ilikuwa ni kupata baisikeli haraka. Ilibidi baba aninunulie baisikeli mpya ya mashindano. Ilikuwa ghali sana na alisema hataninunulia baisikeli nyingine kwa miaka kumi ijayo.\n \nTulipofika Afrika ya Kusini nilishangaa kuona barabara maalumu za baisikeli. Niliporudi kwetu nilimhadithia mama yangu aliyewaambia ndugu zetu ‘Salha alipokuwa kule sikuwa na wasiwasi wowote wa ajali za barabarani na sasa mimi nitakwenda naye mwaka ujao’. Mimi nitafurahi kuwa na mama yangu katika mashindano lakini ninahisi nitalazimika kuendesha polepole ili nisimwache nyuma. Yeye ameshanunua taa mpya ambazo amezibandika nyuma na mbele ya baisikeli yake. Pia amenunua mnyororo madhubuti wa kuifungia baisikeli yake ili isiibiwe.\n \nNingefurahia zaidi kama kaka yangu angekubali kuja kwani ni yeye aliyenifundisha kuendesha. Aliwaambia rafiki zake, ‘kamwe sikutegemea kwamba Salha angeenda hadi Afrika ya Kusini kwa baisikeli, safari ndefu na hatari’!",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Sababu zilizomfanya Roza Mahiri kuwekeza kwenye utalii wa anga:",
"a": "[\"Kuwepo kwenye historia\", \"Kuona angani kukoje\", \"Hisia ya kutokuwepo mvuto wa ardhi\", \"Hisia ya kuelea hewani\", \"Hamu ya kutalii anga tangu utoton\"]",
"context": "Kumekuwa na mazungumzo mengi kuhusu utalii wa safari za anga. Kwa miaka mingi wanasayansi wamekuwa wakienda huko na kurudi. Pia roboti tofauti zimekuwa zikitumwa angani ili kufanya uchunguzi wa kisayansi unaotusaidia kuielewa dunia. Lakini hivi karibuni, mambo yameanza kubadilika baada ya wadau wachache kuamua kwamba wangependa kuwekeza fedha kwenye miradi itakayowawezesha watu wa kawaida kuenda kutembea angani na kuona maajabu yaliyopo huko mbinguni.\n\t\t\t\t\t\nMtu wa kawaida wa kwanza kutembelea anga alikuwa mfanyabiashara mmoja aliyekwenda huko mwaka 2001. Alilipia maelfu ya fedha za kigeni ili kufanya hivyo. Sasa makampuni binafsi yameanza kulifanyia mchakato suala zima la watu kuenda angani. Kampuni zinazojulikana zaidi ni Dunia Duara na Chanzo cha Maisha. Kampuni hizi zinamilikiwa na wafanyabiashara matajiri. Dunia Duara inamilikiwa na Juma Hamisi wakati Chanzo cha Maisha ni mali ya Roza Mahiri. Tofauti kati yao ni kuwa wengi wanaamini kwamba Juma Hamisi ana uthubutu zaidi ya Roza Mahiri. Pia Juma Hamisi anatumia watu kudhamini mradi wake wa anga. Roza Mahiri anatumia pesa zake mwenyewe na anaamini kwamba polepole ndiyo mwendo, hataki kuuharakisha mradi wake wa anga ingawa anataka kuwa na nafasi katika historia ya dunia ya kuwezesha utalii wa anga.\n\t\t\t\t\t\nKwa miaka michache sasa, Roza Mahiri amekuwa akiwekeza mamilioni ya pesa kwenye ujenzi wa roketi ambayo itakuwa na uwezo wa kuwapeleka watu sita angani. Roketi hiyo itapaa kilometa 100 kutoka ardhini hadi angani. Safari ya kwanza ya roketi hiyo imeshapangwa. Wasafiri ni yeye mwenyewe, kaka yake na mdau mmoja aliyebahatika kushinda mnada wa tiketi ya kuenda huko. Mdau huyo atalipia mamilioni ya pesa za kigeni ili kupata nafasi ya kuenda huko.\n\t\t\t\t\t\nRoza Mahiri amekuwa na hamu ya kutalii anga tangu utotoni mwake. Ninafikiri kwa miaka nenda, miaka rudi, amekuwa akijiuliza, je angani kukoje na je atahisi vipi pale atakapokuwa sehemu ambayo haina mvuto wa ardhi na kuweza kuelea hewani. Nilisoma kwamba yeye alianza kujiuliza maswali kuhusu anga alipokuwa na miaka mitano baada ya kuona kwenye televisheni roketi zikivurumisha vumbi kubwa kabla ya kupaa angani. Ninadhani kabla ya roketi kupaa, ni lazima wahusika wahakikishe kwamba hakuna mtu yeyote karibu ili kuwe na usalama.\n\t\t\t\t\t\nRoketi atakayoitumia Roza imefanya majaribio 15 ya kuenda angani na kurudi. Hakuna binadamu aliyewahi kusafiri na roketi hiyo; wakati wa majaribio mwanasesere alipakizwa ndani ya roketi ili kuona usalama wa safari. Mwanasesere huyo alirudi ardhini akiwa mzima kabisa na wala hakusogea kutoka pale alipowekwa kabla ya safari.\n\t\t\t\t\t\nKwa kweli safari ya kuenda angani inasisimua sana. Bila shaka mtu ataweza kuona nyota na kuiona dunia ikiwa kama mpira kutoka angani. Lakini roketi zinazokwenda huko husafiri umbali mrefu kwa muda mfupi sana hivyo huhitaji kuunguza mafuta mengi yenye thamani ya juu ili kuweza kusafiri kwa mwendo wenye kasi kubwa. Upaaji wake ni wa njia maalumu kwani roketi huruka zikiwa wima. Hii ndiyo maana watu ndani ya roketi hufunga mikanda na kukaa kwa utulivu ili wasiumie.\n\t\t\t\t\t\nSwali ninalojiuliza kwa muda sasa ni je, pale hizi safari zitakapoweza kufanywa na watu wa kawaida, nani atapenda kuenda na nani ataweza kuenda? Kwa upande mmoja, pesa nyingi zinahitajika kwa safari hiyo. Kwa hivyo, ni watu wanaojiweza kifedha tu ambao wataweza kuenda. Hii inamaanisha kwamba tofauti kati ya watu duniani zitazidi kuwa kubwa. Lakini pia, mtu akibahatika kwenda, ataona maajabu ya anga na dunia; jambo ambalo hatasahau milele.",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Shilingi 600,000/= ziligawiwa sawasawa kwa wafanyakazi 15. Jee kila mfanyakazi alipata shilingi ngapi?",
"a": "Shilingi 40,000",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Faida kwa walimu kutumia simu kama kifaa cha kufundishia.",
"a": "[\"kusambaza taarifa\", \"kuwatumia wanafunzi mazoezi ya kazi za\nnyumbani\", \"kuboresha mazingira ya masomo\"]",
"context": "Kweli wanafunzi wa leo ni wenyeji wa enzi za kiteknolojia. Kulingana na utafiti uliochapishwa mwaka uliopita, vijana watatu kati ya wanne siku hizi wana simu za kisasa na wengi wanazileta shuleni kila siku. Lakini je, ni wazo zuri kuwaruhusu wanafunzi walete au watumie simu zao darasani? Tulizungumza na walimu, wanafunzi na wazazi kufahamu zaidi.\n \nFarouk ni mwalimu wa hesabu katika shule ya kimataifa Kampala. Alianza kufundisha miaka kumi iliyopita, wakati ambapo hakukuwa na wanafunzi wo wote wenye simu. Anaona kwamba simu zinaweza kuwasaidia walimu, kwa mfano kusambaza taarifa na kuwatumia wanafunzi mazoezi ya kazi za nyumbani. Lakini anataka wanafunzi wasiruhusiwe kabisa kuzileta darasani. ‘Kwangu, simu darasani ni hatari tu. Kwanza, zinawawezesha wanafunzi kuibia katika mitihani, na kweli tatizo hili limeenea sana hivi sasa. Pia wanafunzi wenye simu hawasikilizi darasani na hukengeushwa nazo mara nyingi. Darasani ni kazi ya wanafunzi kusikiliza na kusoma, na ni kazi ya mwalimu kuhakikisha kwamba hakuna fujo. Kwa maoni yangu simu ni kipingamizi tu.’\n \nKhadija na Jonathan wanaishi Moshi na ni rafiki wa miaka mingi. Wote wawili wanasoma kwenye shule moja ya sekondari Moshi. Jonathan ana miaka kumi na mitano, na anapenda sana masomo ya sanaa. Hakubali kwamba matumizi ya simu za mikononi huleta shida darasani, bali anafikiri shida ni walimu wasiojaribu kufanya madarasa yawapendeze wanafunzi. ‘Ninampenda sana mwalimu wangu wa sanaa – madarasa yake ni ya kuvutia na sina haja ya kuangalia simu yangu. Lakini walimu wengine wanaongea tu na ni vigumu kukaa na kusikiliza kwa masaa mengi mfululizo.’\n \nKhadija anacheka na kuzungusha macho kwa mzaha. Yeye ni msichana mwenye umri wa miaka kumi na minne, na ni mwanafunzi hodari aliyetunukiwa Tuzo la Darasa mwaka uliopita. Mama yake alimnunulia simu kama zawadi kwa kupata Tuzo hilo. Khadija anakubali si shida kubwa kutumia simu darasani, lakini bora uzitumie kusaidia ufahamu wako – sio kujikengeusha tu. ‘Simu yangu ya kisasa inanisaidia kupata majibu kwa urahisi zaidi. Sasa sihitaji kumwuliza mwalimu maswali na ninaweza kufahamu zaidi muktadha wa mada zinazofundishwa. Kwa mfano, juzi tulikuwa tukisoma kuhusu Azimio la Arusha na niliweza kupitia makala na magazeti pale pale nilipokaa darasani!’\n \nMama Khadija alikuwa na hofu kidogo alipomnunulia mtoto wake simu, kwa sababu wazazi wengi walikuwa wamemlalamikia kuhusu athari za simu za kisasa kwa watoto wao. ‘Wengi waliniambia kwamba alama zao zilishuka mno. Wanalalamika kwamba watoto wao hawataki kufanya kazi zao za nyumbani, bali wanapendelea kutumia masaa kwenye mitandao ya kijamii au kucheza michezo ya simuni tu.’ Lakini anasema bado hajaona athari mbaya kwa Khadija. ‘Alama zake bado ni za juu, na hutumia simu yake kusambaza taarifa kati yake na rafiki zake kwenye vikundi vyao vya masomo ya shule. Pia sasa simu ni sehemu ya maisha tu na usipoweza kuzitumia utapitwa na wakati. Sijamwekea masharti yo yote, na nimeona ameitumia kwa makini.’ Khadija anatabasamu na kuongeza: ‘Kwa kweli, nilishukuru jinsi mamangu alivyoniamini na nilitaka kumthibitishia kwamba alikuwa sahihi. Kwa hivyo, nimekuwa nikitumia simu kwa uangalifu.’\n \nMwalimu Ida Hamdani alianza kufundisha miezi sita iliyopita. Yeye hakutaka kupiga marufuku simu darasani. Bali, amegundua kwamba simu zinaweza kuwa chombo cha kuboresha mazingira ya masomo darasani kwa wanafunzi na walimu pia, mradi tu unasimamia jinsi zinavyotumiwa. Kwake, hali halisi ni kwamba vijana hutumia simu kila siku, tena watapaswa kuzitumia katika maisha yao yajayo, na ni wajibu wa walimu kuwasaidia kuzitumia kwa njia sahihi. ‘Kitu cha muhimu ni kuweka sheria kwa matumizi ya simu darasani, pamoja na kueleza wazi wanafunzi watakavyoathirika zikitumiwa vibaya. Ukijaribu kuwazuia wanafunzi wasitumie simu kabisa, wataasi tu, lakini ukishirikiana nao kuhakikisha kwamba wanazitumia kwa njia nzuri, watakubali.’",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Juma alinunua lita 5 za maziwa. Je alinunua mililita ngapi za maziwa?",
"a": "mililita 5000",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Kwa nini mama alibadili mawazo kuhusu usalama wa mashindano?",
"a": "Barabara maalumu",
"context": "Kuna aina nyingi za usafiri wa kila siku. Mtu anaweza kuendesha gari, kupanda basi au treni, kukodi teksi au kutembea kwa miguu. Inaonekana kwamba siku hizi watu wengi wanapenda sana kutembea au kupanda baisikeli. Zamani watu walipopanda baisikeli au kutembea walionekana kama fukara na hawana uwezo wa kununua gari au kulipia usafiri wa umma. Siku hizi watu wanaelewa kuwa magari yanaleta uchafuzi wa mazingira, na pia kuna sababu za kiuchumi kwani kutembea na kutumia baisikeli ni bure kabisa. Hata hivyo huku kwetu bado gari linaendelea kuwa muhimu kwani watu wengine huwa na familia kubwa inayojumuisha ndugu na jamaa tofauti, kwa hivyo ni lazima kuwa na usafiri madhubuti.\n \nNilifanya utafiti pamoja na kaka yangu na tuligundua kwamba katika mji wetu, zaidi ya asilimia 50 ya watu hutumia baisikeli kama njia yao kuu ya usafiri. Kati ya hawa, wapo ambao hufanyia kazi zao kwenye baisikeli. Mfano mzuri ni wale wanaouza madafu, mboga na matunda ambayo huyapakia kwenye baisikeli zao. Wao huwa na matenga makubwa yaliyojaa bidhaa na huzunguka mitaani huku wakiuza. Zaidi ya hapo, takriban asilimia 20 ya watu hutumia baisikeli mara moja moja ili kuenda kazini au shuleni. Pia kuna asilimia ndogo ya watu ambao hupanda baisikeli kwa ajili ya mashindano.\n \nMimi ni katika watu walioshindana katika mbio za baisikeli zilizotoka Tanzania hadi Afrika ya Kusini. Sikuwa na nguo zinazotakiwa kwa ajili ya mashindano, kwani sikuwa na uwezo wa kununua mpya kwa sababu muhimu zaidi ilikuwa ni kupata baisikeli haraka. Ilibidi baba aninunulie baisikeli mpya ya mashindano. Ilikuwa ghali sana na alisema hataninunulia baisikeli nyingine kwa miaka kumi ijayo.\n \nTulipofika Afrika ya Kusini nilishangaa kuona barabara maalumu za baisikeli. Niliporudi kwetu nilimhadithia mama yangu aliyewaambia ndugu zetu ‘Salha alipokuwa kule sikuwa na wasiwasi wowote wa ajali za barabarani na sasa mimi nitakwenda naye mwaka ujao’. Mimi nitafurahi kuwa na mama yangu katika mashindano lakini ninahisi nitalazimika kuendesha polepole ili nisimwache nyuma. Yeye ameshanunua taa mpya ambazo amezibandika nyuma na mbele ya baisikeli yake. Pia amenunua mnyororo madhubuti wa kuifungia baisikeli yake ili isiibiwe.\n \nNingefurahia zaidi kama kaka yangu angekubali kuja kwani ni yeye aliyenifundisha kuendesha. Aliwaambia rafiki zake, ‘kamwe sikutegemea kwamba Salha angeenda hadi Afrika ya Kusini kwa baisikeli, safari ndefu na hatari’!",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Andika kwa tarakimu “elfu sita mia nne na thalathini na tisa”.",
"a": "6439",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Toa 0.02 kwenye 0.78.",
"a": "0.76",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Kwa sababu gani mhusika wa habari hii hupiga picha za vyakula? Taja sababu mbili.",
"a": "Kwa sababu vimepambwa\nKwa sababu ni vyakula vinavyopikwa kwa nadra",
"context": "Wiki iliyopita shule yetu ilitembelewa na Bwana Musa. Yeye ni Mkenya na anafanya utafiti katika chuo kikuu huko Nairobi. Mada ya utafiti wake ni ‘matumizi ya mitandao ya kijamii kwa vijana’. \n\nAlipofika tu, alianza kwa kutuuliza maswali yaliyokuwa na lengo la kuchunguza mienendo na matumizi yetu ya mitandao ya kijamii. Alitaka kujua wanafunzi wangapi huangalia simu zao za mkononi pale wanapoamka tu. Ikabainika kwamba asilimia kubwa kati yetu hufanya hivyo. Wengi wetu hufuatilia picha zinazobandikwa na husoma maoni ya watu tofauti kuhusu picha hizo. Bwana Musa akaongezea kusema kwamba ana uhakika wengi wetu huendelea kuangalia simu zetu za mkononi kila baada ya dakika chache. Hapo tena wanafunzi wengi walicheka huku wakikubaliana na maneno yake. Tena zaidi ya hapo, rafiki yangu Hadija aliongeza ‘ninapoamka tu hukuta nimeshatumiwa ujumbe kama kumi hivi kunitaka nitoe maoni kuhusu picha zilizobandikwa usiku uliopita!’ Hapo tulicheka tena tukikubaliana naye. \n\nBwana Musa alituuliza maswali mengi. Swali ambalo lilinifanya nitafakari kuhusu mambo yanayonivutia linahusu chakula. Aliuliza, ‘wanafunzi wangapi hupiga picha za vyakula kabla ya kuvila?’ Ilibidi ninyooshe kidole na kusema mimi hufanya hivyo. Nilimfahamisha kwamba, pale ninapotembelea mikahawa na kula vyakula vilivyopambwa vizuri, mimi hupendelea kuvipiga picha. Pia hufanya hivyo ninapoviona vyakula ambavyo hupikwa kwa nadra. Siku hizi hata mama yangu haturuhusu kula kabla ya yeye mwenyewe kupiga picha huku akitania ‘hakuna ruhusa ya kula kabla ya kuvipiga picha vyakula’. \n\nBwana Musa alitufahamisha kwamba, maisha tuliyoyazoea sasa ni tofauti kabisa na yale ya watu waliozaliwa miaka kumi au kumi na tano tu iliyopita. Vijana wa sasa hawathamini mazungumzo ya ana kwa ana na hawaandikiani barua kama zamani. Vijana wa sasa wanategemea mitandao ya kijamii ili kuwasiliana na wenzao. Hapo nikaelewa sababu za wazazi wangu kuniambia nipunguze matumizi ya simu. \n\nMimi nimepangiliwa muda maalumu wa kutumia simu ninapokuwa nyumbani. Muda huu ni saa kumi na moja jioni hadi saa kumi na mbili na nusu. Ninamshukuru mama yangu kwa kuupata muda huo ingawa ni mfupi. Baba yangu hapendi kabisa intaneti. Yeye husema ‘ningependelea kama intaneti isingekuwapo kabisa kwani unapotumia intaneti kwa muda mrefu unapoteza ujuzi wako wa kuzungumza kwenye jamii. Pia unajifunza upuuzi na huwi makini darasani kabisa’. \n\nKwa kiasi kikubwa, Bwana Musa alikubaliana na baba yangu kwamba intaneti ni kipingamizi darasani. Lakini alitutahadharisha kwa kusema ‘kuna umuhimu wa kutumia intaneti na mitandao ya kijamii kwani watu hupata ufahamu mkubwa wa mada tofauti na hujenga mahusiano mazuri ya kimataifa’. \n\nAlitupa takwimu chache ambazo zilinishangaza. Kwanza alisema kwamba miaka miwili iliyopita, vijana walitumia takribani saa moja kila siku kwenye mitandao ya kijamii. Pia walikuwa na akaunti moja au mbili tu. Kwa hivyo walitumia muda huo kuangalia mitandao tofauti. Hivi sasa asilimia kubwa ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii ni vijana. Alituuliza, ‘wangapi kati yenu mna uwezo wa kutotazama simu kwa zaidi ya saa zima?’ Hakuna hata mmoja wetu aliyenyoosha kidole. Halafu alituuliza, ‘wangapi kati yenu mna akaunti tano au zaidi kwenye majukwaa tofauti?’ Hapo karibu sote tulinyoosha vidole. Basi Bwana Musa alicheka na kusema, ‘mnaona, nyinyi vijana mnapenda kuwa sehemu tofauti wakati mmoja!’ \n\nMimi ninapotumia intaneti hupenda kusoma hadithi tofauti kwenye tovuti za mitandaoni. Hizi huandikwa na waandishi ambao bado hawajajulikana na huwa nzuri sana. Pia huangalia filamu au vichekesho. \n\nIngawa ninapenda kupiga picha, kwa kawaida hupendelea kubandika picha za vyakula na si picha zinazoonyesha mahala nilipo na familia yangu kwani sitaki kujihatarisha. Bwana Musa alituonya na kusema kwamba, kuna hatia nyingi za kihaini zinazofanyika kwenye mitandao. Alitufahamisha kwamba, kwenye mitandao ya kijamii, vijana hukubali maombi ya urafiki kutoka kwa watu wasiowajua. Mimi sijawahi kufanya hivyo. Alisema kwamba mara nyingi vijana hutazama picha za watu wanaowaomba urafiki na kama zinavutia basi wao hukubali ombi la urafiki. Pia wakati mwingine hutazama kama wana marafiki wa pamoja na hao watu na kukubali urafiki. Kwa hakika uamuzi huu si mzuri kwani, kiukweli, wao hawawajui watu hawa na wanaweza kuwa waovu. Mambo haya huweza kuleta madhara mengi. Mfano ni hatari ya kuibiwa na pia kupoteza usalama kutokana na vitisho tofauti. Bwana Musa alimalizia kwa kututahadharisha wote kwa kusema kwamba ni muhimu kuwa na nidhamu na pia kuwa makini.",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Bwana Ali alitoa mchele kilogramu 1000 kwa familia zilizopo kijijini. Ikiwa kila familia moja ilipata kilogramu 20. Jee, familia ngapi zilifaidika na mchango huo?",
"a": "50",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Taja mambo matatu ambayo wanafunzi wengi hufanya katika simu zao za mkononi wakati wa asubuhi.",
"a": "1. Hufuatilia picha zinazobandikwa,\n2. Hufuatilia maoni ya watu tofauti kuhusu picha hizo\n3. Husoma ujumbe tofauti.",

"q": "",
"a": "",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Chukua 450 kutoka 742, jawabu yake ni:",
"a": "292",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Badilisha sehemu 3/10 kuwa desimali.",
"a": "0.3",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Ikiwa daftari moja lina karatasi 48. Jee, madaftari 30 yatakua na karatasi ngapi?",
"a": "1440",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Taja mawazo ya mwandishi kuhusu uboreshaji wa maisha kiujumla.",
"a": "Kuhifadhi mazingira",
"context": "",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Hofu za wazazi kuhusu matumizi ya simu za mikononi kwa watoto wao.",
"a": "[\"alama (za watoto wao) kushuka.\", \"(Watoto wao) hawatafanya kazi za nyumbani\", \"(Watoto) kujipoteza simuni.\"]",
"context": "Kweli wanafunzi wa leo ni wenyeji wa enzi za kiteknolojia. Kulingana na utafiti uliochapishwa mwaka uliopita, vijana watatu kati ya wanne siku hizi wana simu za kisasa na wengi wanazileta shuleni kila siku. Lakini je, ni wazo zuri kuwaruhusu wanafunzi walete au watumie simu zao darasani? Tulizungumza na walimu, wanafunzi na wazazi kufahamu zaidi.\n \nFarouk ni mwalimu wa hesabu katika shule ya kimataifa Kampala. Alianza kufundisha miaka kumi iliyopita, wakati ambapo hakukuwa na wanafunzi wo wote wenye simu. Anaona kwamba simu zinaweza kuwasaidia walimu, kwa mfano kusambaza taarifa na kuwatumia wanafunzi mazoezi ya kazi za nyumbani. Lakini anataka wanafunzi wasiruhusiwe kabisa kuzileta darasani. ‘Kwangu, simu darasani ni hatari tu. Kwanza, zinawawezesha wanafunzi kuibia katika mitihani, na kweli tatizo hili limeenea sana hivi sasa. Pia wanafunzi wenye simu hawasikilizi darasani na hukengeushwa nazo mara nyingi. Darasani ni kazi ya wanafunzi kusikiliza na kusoma, na ni kazi ya mwalimu kuhakikisha kwamba hakuna fujo. Kwa maoni yangu simu ni kipingamizi tu.’\n \nKhadija na Jonathan wanaishi Moshi na ni rafiki wa miaka mingi. Wote wawili wanasoma kwenye shule moja ya sekondari Moshi. Jonathan ana miaka kumi na mitano, na anapenda sana masomo ya sanaa. Hakubali kwamba matumizi ya simu za mikononi huleta shida darasani, bali anafikiri shida ni walimu wasiojaribu kufanya madarasa yawapendeze wanafunzi. ‘Ninampenda sana mwalimu wangu wa sanaa – madarasa yake ni ya kuvutia na sina haja ya kuangalia simu yangu. Lakini walimu wengine wanaongea tu na ni vigumu kukaa na kusikiliza kwa masaa mengi mfululizo.’\n \nKhadija anacheka na kuzungusha macho kwa mzaha. Yeye ni msichana mwenye umri wa miaka kumi na minne, na ni mwanafunzi hodari aliyetunukiwa Tuzo la Darasa mwaka uliopita. Mama yake alimnunulia simu kama zawadi kwa kupata Tuzo hilo. Khadija anakubali si shida kubwa kutumia simu darasani, lakini bora uzitumie kusaidia ufahamu wako – sio kujikengeusha tu. ‘Simu yangu ya kisasa inanisaidia kupata majibu kwa urahisi zaidi. Sasa sihitaji kumwuliza mwalimu maswali na ninaweza kufahamu zaidi muktadha wa mada zinazofundishwa. Kwa mfano, juzi tulikuwa tukisoma kuhusu Azimio la Arusha na niliweza kupitia makala na magazeti pale pale nilipokaa darasani!’\n \nMama Khadija alikuwa na hofu kidogo alipomnunulia mtoto wake simu, kwa sababu wazazi wengi walikuwa wamemlalamikia kuhusu athari za simu za kisasa kwa watoto wao. ‘Wengi waliniambia kwamba alama zao zilishuka mno. Wanalalamika kwamba watoto wao hawataki kufanya kazi zao za nyumbani, bali wanapendelea kutumia masaa kwenye mitandao ya kijamii au kucheza michezo ya simuni tu.’ Lakini anasema bado hajaona athari mbaya kwa Khadija. ‘Alama zake bado ni za juu, na hutumia simu yake kusambaza taarifa kati yake na rafiki zake kwenye vikundi vyao vya masomo ya shule. Pia sasa simu ni sehemu ya maisha tu na usipoweza kuzitumia utapitwa na wakati. Sijamwekea masharti yo yote, na nimeona ameitumia kwa makini.’ Khadija anatabasamu na kuongeza: ‘Kwa kweli, nilishukuru jinsi mamangu alivyoniamini na nilitaka kumthibitishia kwamba alikuwa sahihi. Kwa hivyo, nimekuwa nikitumia simu kwa uangalifu.’\n \nMwalimu Ida Hamdani alianza kufundisha miezi sita iliyopita. Yeye hakutaka kupiga marufuku simu darasani. Bali, amegundua kwamba simu zinaweza kuwa chombo cha kuboresha mazingira ya masomo darasani kwa wanafunzi na walimu pia, mradi tu unasimamia jinsi zinavyotumiwa. Kwake, hali halisi ni kwamba vijana hutumia simu kila siku, tena watapaswa kuzitumia katika maisha yao yajayo, na ni wajibu wa walimu kuwasaidia kuzitumia kwa njia sahihi. ‘Kitu cha muhimu ni kuweka sheria kwa matumizi ya simu darasani, pamoja na kueleza wazi wanafunzi watakavyoathirika zikitumiwa vibaya. Ukijaribu kuwazuia wanafunzi wasitumie simu kabisa, wataasi tu, lakini ukishirikiana nao kuhakikisha kwamba wanazitumia kwa njia nzuri, watakubali.’",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Asha alinunua bidhaa zenye bei zifuatazo:\n• Chupa moja ya maji shilingi 1,000\n• Mikate 20 ya boflo shilingi 3,000\n• Paketi sita (6) za maziwa shilingi 9,000\n• Kreti tatu (3) za soda shilingi 10,000\n\nIkiwa Asha alikua na shilingi 30,000. Jee, Asha alibakiwa na shilingi ngapi\nbaada ya kununua bidhaa hizo? ",
"a": "7,000",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Andika majina ya miezi yenye siku thelathini.",
"a": "Aprili, Juni, Septemba, Novemba",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Nini ajira ya Bwana Musa?",
"a": "Mtafiti",
"context": "Wiki iliyopita shule yetu ilitembelewa na Bwana Musa. Yeye ni Mkenya na anafanya utafiti katika chuo kikuu huko Nairobi. Mada ya utafiti wake ni ‘matumizi ya mitandao ya kijamii kwa vijana’. \n\nAlipofika tu, alianza kwa kutuuliza maswali yaliyokuwa na lengo la kuchunguza mienendo na matumizi yetu ya mitandao ya kijamii. Alitaka kujua wanafunzi wangapi huangalia simu zao za mkononi pale wanapoamka tu. Ikabainika kwamba asilimia kubwa kati yetu hufanya hivyo. Wengi wetu hufuatilia picha zinazobandikwa na husoma maoni ya watu tofauti kuhusu picha hizo. Bwana Musa akaongezea kusema kwamba ana uhakika wengi wetu huendelea kuangalia simu zetu za mkononi kila baada ya dakika chache. Hapo tena wanafunzi wengi walicheka huku wakikubaliana na maneno yake. Tena zaidi ya hapo, rafiki yangu Hadija aliongeza ‘ninapoamka tu hukuta nimeshatumiwa ujumbe kama kumi hivi kunitaka nitoe maoni kuhusu picha zilizobandikwa usiku uliopita!’ Hapo tulicheka tena tukikubaliana naye. \n\nBwana Musa alituuliza maswali mengi. Swali ambalo lilinifanya nitafakari kuhusu mambo yanayonivutia linahusu chakula. Aliuliza, ‘wanafunzi wangapi hupiga picha za vyakula kabla ya kuvila?’ Ilibidi ninyooshe kidole na kusema mimi hufanya hivyo. Nilimfahamisha kwamba, pale ninapotembelea mikahawa na kula vyakula vilivyopambwa vizuri, mimi hupendelea kuvipiga picha. Pia hufanya hivyo ninapoviona vyakula ambavyo hupikwa kwa nadra. Siku hizi hata mama yangu haturuhusu kula kabla ya yeye mwenyewe kupiga picha huku akitania ‘hakuna ruhusa ya kula kabla ya kuvipiga picha vyakula’. \n\nBwana Musa alitufahamisha kwamba, maisha tuliyoyazoea sasa ni tofauti kabisa na yale ya watu waliozaliwa miaka kumi au kumi na tano tu iliyopita. Vijana wa sasa hawathamini mazungumzo ya ana kwa ana na hawaandikiani barua kama zamani. Vijana wa sasa wanategemea mitandao ya kijamii ili kuwasiliana na wenzao. Hapo nikaelewa sababu za wazazi wangu kuniambia nipunguze matumizi ya simu. \n\nMimi nimepangiliwa muda maalumu wa kutumia simu ninapokuwa nyumbani. Muda huu ni saa kumi na moja jioni hadi saa kumi na mbili na nusu. Ninamshukuru mama yangu kwa kuupata muda huo ingawa ni mfupi. Baba yangu hapendi kabisa intaneti. Yeye husema ‘ningependelea kama intaneti isingekuwapo kabisa kwani unapotumia intaneti kwa muda mrefu unapoteza ujuzi wako wa kuzungumza kwenye jamii. Pia unajifunza upuuzi na huwi makini darasani kabisa’. \n\nKwa kiasi kikubwa, Bwana Musa alikubaliana na baba yangu kwamba intaneti ni kipingamizi darasani. Lakini alitutahadharisha kwa kusema ‘kuna umuhimu wa kutumia intaneti na mitandao ya kijamii kwani watu hupata ufahamu mkubwa wa mada tofauti na hujenga mahusiano mazuri ya kimataifa’. \n\nAlitupa takwimu chache ambazo zilinishangaza. Kwanza alisema kwamba miaka miwili iliyopita, vijana walitumia takribani saa moja kila siku kwenye mitandao ya kijamii. Pia walikuwa na akaunti moja au mbili tu. Kwa hivyo walitumia muda huo kuangalia mitandao tofauti. Hivi sasa asilimia kubwa ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii ni vijana. Alituuliza, ‘wangapi kati yenu mna uwezo wa kutotazama simu kwa zaidi ya saa zima?’ Hakuna hata mmoja wetu aliyenyoosha kidole. Halafu alituuliza, ‘wangapi kati yenu mna akaunti tano au zaidi kwenye majukwaa tofauti?’ Hapo karibu sote tulinyoosha vidole. Basi Bwana Musa alicheka na kusema, ‘mnaona, nyinyi vijana mnapenda kuwa sehemu tofauti wakati mmoja!’ \n\nMimi ninapotumia intaneti hupenda kusoma hadithi tofauti kwenye tovuti za mitandaoni. Hizi huandikwa na waandishi ambao bado hawajajulikana na huwa nzuri sana. Pia huangalia filamu au vichekesho. \n\nIngawa ninapenda kupiga picha, kwa kawaida hupendelea kubandika picha za vyakula na si picha zinazoonyesha mahala nilipo na familia yangu kwani sitaki kujihatarisha. Bwana Musa alituonya na kusema kwamba, kuna hatia nyingi za kihaini zinazofanyika kwenye mitandao. Alitufahamisha kwamba, kwenye mitandao ya kijamii, vijana hukubali maombi ya urafiki kutoka kwa watu wasiowajua. Mimi sijawahi kufanya hivyo. Alisema kwamba mara nyingi vijana hutazama picha za watu wanaowaomba urafiki na kama zinavutia basi wao hukubali ombi la urafiki. Pia wakati mwingine hutazama kama wana marafiki wa pamoja na hao watu na kukubali urafiki. Kwa hakika uamuzi huu si mzuri kwani, kiukweli, wao hawawajui watu hawa na wanaweza kuwa waovu. Mambo haya huweza kuleta madhara mengi. Mfano ni hatari ya kuibiwa na pia kupoteza usalama kutokana na vitisho tofauti. Bwana Musa alimalizia kwa kututahadharisha wote kwa kusema kwamba ni muhimu kuwa na nidhamu na pia kuwa makini.",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Tofauti za wazazi wa Zakia na Kurwa:",
"a": "[\"Wazazi wa Kurwa wanajiweza / na mama yake Zakia si tajiri\", \"Mama yake Kurwa hakumwamini kumwacha achague mwenyewe / Mama yake Zakia anamwamini mtoto kuwa peke yake\"]",
"context": "",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Ikiwa utakata vipande vya waya vyenye urefu wa mita 20 sawa sawa kutoka kwenye roli la waya lenye urefu wa mita 100. Jee utapata vipande vingapi?",
"a": "5",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Umepata mawazo gani kuhusu Bwana Musa? Elezea maoni mawili kutoka kwenye habari uliyoisoma.",
"a": "1. Anaelewa hatari\n2. Anawaelewa vijana ",
"context": "Wiki iliyopita shule yetu ilitembelewa na Bwana Musa. Yeye ni Mkenya na anafanya utafiti katika chuo kikuu huko Nairobi. Mada ya utafiti wake ni ‘matumizi ya mitandao ya kijamii kwa vijana’. \n\nAlipofika tu, alianza kwa kutuuliza maswali yaliyokuwa na lengo la kuchunguza mienendo na matumizi yetu ya mitandao ya kijamii. Alitaka kujua wanafunzi wangapi huangalia simu zao za mkononi pale wanapoamka tu. Ikabainika kwamba asilimia kubwa kati yetu hufanya hivyo. Wengi wetu hufuatilia picha zinazobandikwa na husoma maoni ya watu tofauti kuhusu picha hizo. Bwana Musa akaongezea kusema kwamba ana uhakika wengi wetu huendelea kuangalia simu zetu za mkononi kila baada ya dakika chache. Hapo tena wanafunzi wengi walicheka huku wakikubaliana na maneno yake. Tena zaidi ya hapo, rafiki yangu Hadija aliongeza ‘ninapoamka tu hukuta nimeshatumiwa ujumbe kama kumi hivi kunitaka nitoe maoni kuhusu picha zilizobandikwa usiku uliopita!’ Hapo tulicheka tena tukikubaliana naye. \n\nBwana Musa alituuliza maswali mengi. Swali ambalo lilinifanya nitafakari kuhusu mambo yanayonivutia linahusu chakula. Aliuliza, ‘wanafunzi wangapi hupiga picha za vyakula kabla ya kuvila?’ Ilibidi ninyooshe kidole na kusema mimi hufanya hivyo. Nilimfahamisha kwamba, pale ninapotembelea mikahawa na kula vyakula vilivyopambwa vizuri, mimi hupendelea kuvipiga picha. Pia hufanya hivyo ninapoviona vyakula ambavyo hupikwa kwa nadra. Siku hizi hata mama yangu haturuhusu kula kabla ya yeye mwenyewe kupiga picha huku akitania ‘hakuna ruhusa ya kula kabla ya kuvipiga picha vyakula’. \n\nBwana Musa alitufahamisha kwamba, maisha tuliyoyazoea sasa ni tofauti kabisa na yale ya watu waliozaliwa miaka kumi au kumi na tano tu iliyopita. Vijana wa sasa hawathamini mazungumzo ya ana kwa ana na hawaandikiani barua kama zamani. Vijana wa sasa wanategemea mitandao ya kijamii ili kuwasiliana na wenzao. Hapo nikaelewa sababu za wazazi wangu kuniambia nipunguze matumizi ya simu. \n\nMimi nimepangiliwa muda maalumu wa kutumia simu ninapokuwa nyumbani. Muda huu ni saa kumi na moja jioni hadi saa kumi na mbili na nusu. Ninamshukuru mama yangu kwa kuupata muda huo ingawa ni mfupi. Baba yangu hapendi kabisa intaneti. Yeye husema ‘ningependelea kama intaneti isingekuwapo kabisa kwani unapotumia intaneti kwa muda mrefu unapoteza ujuzi wako wa kuzungumza kwenye jamii. Pia unajifunza upuuzi na huwi makini darasani kabisa’. \n\nKwa kiasi kikubwa, Bwana Musa alikubaliana na baba yangu kwamba intaneti ni kipingamizi darasani. Lakini alitutahadharisha kwa kusema ‘kuna umuhimu wa kutumia intaneti na mitandao ya kijamii kwani watu hupata ufahamu mkubwa wa mada tofauti na hujenga mahusiano mazuri ya kimataifa’. \n\nAlitupa takwimu chache ambazo zilinishangaza. Kwanza alisema kwamba miaka miwili iliyopita, vijana walitumia takribani saa moja kila siku kwenye mitandao ya kijamii. Pia walikuwa na akaunti moja au mbili tu. Kwa hivyo walitumia muda huo kuangalia mitandao tofauti. Hivi sasa asilimia kubwa ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii ni vijana. Alituuliza, ‘wangapi kati yenu mna uwezo wa kutotazama simu kwa zaidi ya saa zima?’ Hakuna hata mmoja wetu aliyenyoosha kidole. Halafu alituuliza, ‘wangapi kati yenu mna akaunti tano au zaidi kwenye majukwaa tofauti?’ Hapo karibu sote tulinyoosha vidole. Basi Bwana Musa alicheka na kusema, ‘mnaona, nyinyi vijana mnapenda kuwa sehemu tofauti wakati mmoja!’ \n\nMimi ninapotumia intaneti hupenda kusoma hadithi tofauti kwenye tovuti za mitandaoni. Hizi huandikwa na waandishi ambao bado hawajajulikana na huwa nzuri sana. Pia huangalia filamu au vichekesho. \n\nIngawa ninapenda kupiga picha, kwa kawaida hupendelea kubandika picha za vyakula na si picha zinazoonyesha mahala nilipo na familia yangu kwani sitaki kujihatarisha. Bwana Musa alituonya na kusema kwamba, kuna hatia nyingi za kihaini zinazofanyika kwenye mitandao. Alitufahamisha kwamba, kwenye mitandao ya kijamii, vijana hukubali maombi ya urafiki kutoka kwa watu wasiowajua. Mimi sijawahi kufanya hivyo. Alisema kwamba mara nyingi vijana hutazama picha za watu wanaowaomba urafiki na kama zinavutia basi wao hukubali ombi la urafiki. Pia wakati mwingine hutazama kama wana marafiki wa pamoja na hao watu na kukubali urafiki. Kwa hakika uamuzi huu si mzuri kwani, kiukweli, wao hawawajui watu hawa na wanaweza kuwa waovu. Mambo haya huweza kuleta madhara mengi. Mfano ni hatari ya kuibiwa na pia kupoteza usalama kutokana na vitisho tofauti. Bwana Musa alimalizia kwa kututahadharisha wote kwa kusema kwamba ni muhimu kuwa na nidhamu na pia kuwa makini.",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Mhusika anachukua hatua gani mtandaoni ili kujilinda? Taja hatua mbili.",
"a": "1. Haonyeshi mahala alipo\n2. Hakubali marafiki asiowajua",

"q": "Nyumba ya bwana Ali ilikua na urefu wa sentimita 3000. Jee, nyumba hiyo itakua na urefu wa mita ngapi?",
"a": "30",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Andika kwa tarakimu “elfu sita mia nne na thalathini na tisa”.",
"a": "6439",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Ikiwa utaendesha baiskeli kilomita 8 kwa muda wa saa 1. Jee, ni masafa gani utaendesha baskeli kwa muda wa saa 2?",
"a": "kilomita 16",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Ikiwa uzito wa mcheleni kilogramu 58, sukari ni kilogramu 34 na maharage ni gramu 25,000. Jee, vyakula vyote vilikua na kilogramu ngapi?",
"a": "kilogramu 117",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Imani gani ilimsaidia Vanessa kuanzisha mradi wake?",
"a": "Uongozi wa vijana [duniani] ni suluhisho",
"context": "",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Faida za kusoma nyumbani kulingana na wazazi:",
"a": "[\"Kusaidia nyumbani\", \"Kuwa na wazazi/kuelewana\", \"Kujifunza kujitegemea\"]",
"context": "",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
},
{
"q": "Badilisha sehemu 3/10 kuwa desimali.",
"a": "0.3",
"context": "",
"grade": "4",
"category": "Mathematics"
},
{
"q": "Ushahidi wa usalama kuwa jambo muhimu kwenye safari za anga:",
"a": "[\"Hakuna mtu yeyote karibu na roketi/vumbi\", \"Kupeleka mwanasesere angani\", \"Kufunga mikanda\", \"Majaribio mengi/majaribio\"]",
"context": "",
"grade": "GCSE",
"category": "Reading comprehension"
}
]